Friday, August 9, 2013

Unamkumbuaka huyu? ISAAC NEWTON

Ni lejendari wa mwanasayansi aliye logic kuwa kwa nini nikirusha kitu juu huwa kinarudi chini aridhini?Mfano wake yeye alikuwa chini ya mti nyumbani kwao,mti aliokuwepo ulikuwa na matunda yaliokomaa na kuiva mara ghafula tunda lilidondoka toka mtini na kuangukia karibu na sehemu ilipokua ameketi.Akaliokota na kujiuliza kwa nini tunda hili limedondoka aridhini na kwanini alikuelekea juu angani kwani pia kulikua na space kubwa ya kutosha tunda hilo.HAPA NAZUNGUMZIA MWANZO WA RISACHI YAKE KUHUSU gravitational force.MY self i remember and i learn one thing through this logic kuwa"Ukijifunza kulogic vitu vidogo kuna uwezekano mkubwa wa kugundua yalio makubwa" Hivyo Watanzania wenzangu tuwafunze watoto zetu kutaka kujua sababu ya yalio madogo sababu ni chanzo kizuri cha kuweza kujua hata hayo makubwa na yanashangaza dunia hadi sasa .For lil i miss this man Isaac Newton

No comments:

Post a Comment