TUMEINYAKA kwamba mimba anayotamba staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuwa amempachika mpenzi wake, Peniel Mungilwa ‘Penny’, inadaiwa kuanza kumtesa mtangazaji huyo wa DTV, Ijumaa Wikienda linashuka nayo.

Diamond na Penny katika pozi.
Akizungumzia hali hiyo, Penny aliliambia gazeti hili kuwa ni kweli
alizidiwa usiku na alikimbizwa hospitali ambapo pamoja na mengine lakini
kubwa vipimo vilionesha kuwa alikuwa na malaria.Hata hivyo, habari tulizozipata wakati tunakwenda mitamboni zilieleza kuwa Penny aliruhusiwa kutoka hospitalini na anaendelea vizuri.
No comments:
Post a Comment