KIDOTI IS GOING HOT,Waaaaaaapi NI HUKO KWAO RUVUMA
MLIMBWENDE aliyejitosa kwenye tasnia ya filamu za Kibongo na kufanya
vizuri, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ ameanzisha Kipindi cha Kidoti Time
ambacho kitafundishwa katika shule za Msingi 27 Songea vijijni Mkoani
Ruvuma.…
No comments:
Post a Comment