HAYA SASA TZ 2MEMPELEKA WA UKWELI? AU MAJANGA MIE CJUI!!!
Leo tarehe 26 mwezi wa 5, itaanza kuonyeshwa rasmi msimu mpya wa big
brother "the chase" kwa wale wenye dstv usikose kuangalia kupitia
channel 198 upate kujua ni nani atakaeiwakilisha Tanzania mwaka huu.
Dola laki tatu kushindaniwa
No comments:
Post a Comment